Nenda kwenye maudhui
  • Mwanzo
  • Programu
    • Kupiga simuKutuma ujumbeVikundiHadhiVituoMeta AIUsalama
  • Faragha
  • Kituo cha Msaada
  • Blogu
  • Kwa Biashara
Pakua
Masharti na Sera ya Faragha2026 © WhatsApp LLC
Ukurasa Mkuu wa WhatsAppUkurasa Mkuu wa WhatsApp
    • Kupiga simu

      Endelea kuwasiliana kwa sauti na video.

    • Kutuma ujumbe

      Jieleze kwa vibandiko, sauti, GIF, na zaidi.

    • Vikundi

      Vipengele vya utumaji ujumbe unavyohitaji ili kuungana na vikundi.

    • Vituo

      Endelea kupata taarifa kuhusu mada unazojali.

    • Meta AI

      Pata msaada wa kitu chochote, yote kwa usalama na faragha kwenye WhatsApp.

    • Hadhi

      Shiriki maisha yako ya kila siku kwa picha, video na madokezo ya sauti.

    • Usalama

      Safu za ulinzi za kukusaidia kuwa salama.

  • Faragha
  • Kituo cha Usaidizi
  • Blogu
  • Kwa Biashara
  • Programu
IngiaPakua

Unganisha kwa njia yako

Kwenye WhatsApp, mazungumzo yanaweza kuwa ya kueleza hisia, kufurahisha na kukufaa kabisa. Ujumbe kwenye kifaa chochote unalindwa na ufumbaji wa mwisho hadi mwisho, kwa hivyo unaweza kuzungumza kwa uhuru na kujua kwamba ujumbe wako binafsi utaendelea kuwa wa faragha na salama.

Pakua

Panga ujumbe wako

Weka mazungumzo yako yakiwa yamepangwa, yamewekwa umbizo na kutafsiriwa.

  • Vichujio vya kikasha pokezi

    Endelea kupanga na upate mazungumzo yako muhimu zaidi ukitumia vichujio vya Gumzo Zote, Zisizosomwa, na za Kikundi.

    Jifunze jinsi
  • Ujumbe uliobandikwa

    Weka hadi ujumbe 3 ukiwa umebandikwa juu ya gumzo kwa urahisi wa kufikia kile ambacho ni muhimu zaidi.

    Jifunze jinsi
  • Kupanga ujumbe

    Weka umbizo kwenye maandishi ndani ya ujumbe wako ili kurahisisha kusoma - kwa herufi za italiki, zenye herufi nzito, nukta kubwa na zaidi.

    Jifunze jinsi
  • Tafsiri za ujumbe

    Tafsiri ujumbe ambao umetuma au kupokea katika gumzo ya moja kwa moja au ya kikundi, moja kwa moja kwenye gumzo lako la WhatsApp.

    Jifunze jinsi

Jieleze katika magumzo yako

Unapohitaji zaidi ya maneno tu, tegemea vipengele mbalimbali vya WhatsApp ili kujieleza - vibandiko, GIF, hisia, video na madokezo ya sauti na zaidi.

  • Vibandiko na GIF

    Kuwa mbunifu ukitumia vibandiko, Avata na GIF zinazoweza kutafutwa na kugeuzwa kukufaa.

    Pakua
  • Miitikio

    Tumia emoji yoyote kujibu ujumbe na kushiriki mawazo yako kwa urahisi na papo hapo.

    Pakua
  • Madokezo ya Video

    Nasa hisia za tukio kwa kurekodi na kushiriki ujumbe wa video papo hapo hadi dakika moja kwenye gumzo.

    Pakua
  • Madokezo ya Sauti

    Simulia hadithi nzima, hata ikiwa ni ndefu sana kuandika. Tumia manukuu ikiwa unapendelea kusoma madokezo ya sauti yaliyopokelewa au kuyaharakisha kwa kasi ya 1.5 au 2x ili kusikiliza haraka zaidi.

    Pakua

Unahitaji usaidizi zaidi?

Tazama Maswali yote Yanayoulizwa Mara kwa Mara
Tazama Maswali yote Yanayoulizwa Mara kwa Mara
  • Orodha ni vichujio unavyoweza kuwekewa mapendeleo ambavyo vinaweza kukusaidia kupanga soga zako. Una orodha nne chaguomsingi:

    • Zote: Mwonekano chaguomsingi wa jumbe zako zote.
    • Hujasoma: Hupiga soga na ujumbe ambao unatia alama kuwa hujasoma au bado hujaufungua.
    • Vipendwa: Soga kutoka kwenye anwani unazopenda.
    • Vikundi: Soga zote za kikundi chako katika sehemu moja.
    Jifunze zaidi
  • Unaweza kubandika hadi ujumbe tatu sehemu ya juu ya gumzo kwa kubonyeza na kushikilia ujumbe huo na kuchagua 'bandika'. Baada ya kubandikwa, ujumbe utakaa sehemu ya juu ya soga kama bango kwa saa 24, siku 7 au siku 30. Gusa kwenye bango la ujumbe uliobandikwa ili uende kwenye ujumbe husika katika soga.

    Jifunze zaidi
  • WhatsApp hukuruhusu kupanga maandishi ndani ya ujumbe wako, ukitumia machaguo ya kupanga maandishi kama vile kuandika maandishi kwa herufi nzito, kuandika maandishi kwa herufi ya italiki na mengineyo.

    Jifunze zaidi
  • Unaweza kutafsiri ujumbe ambao umetuma au kupokea katika magumzo yako katika lugha zinazopatikana. Mahali, nyaraka, anwani, vibandiko na GIF haziwezi kutafsiriwa. Utahitaji mawimbi thabiti ya WiFi au data ya simu za mkononi na nafasi ya kutosha ya kuhifadhi ili kutafsiri.

    Jifunze zaidi
  • Fungua soga ya binafsi au ya kikundi. Ili kupiga picha au kurekodi video, donoa Kamera (kamera). Ili kuambatisha picha au video iliyopo, bonyeza na ushikilie 'Ambatisha' (klipu ya karatasi) kisha uchague picha au video za kushiriki.

    Jifunze zaidi
  • Unaweza kutuma faili kubwa, bila kubana, bila malipo kwenye WhatsApp. Kwa nyaraka, kiasi cha juu cha ukubwa wa faili unaoruhusiwa ni GB 2.

    Jifunze zaidi
  • Madokezo ya video kwenye WhatsApp hukuruhusu kurekodi na kushiriki madokezo ya video papo hapo ambayo yana urefu wa hadi sekunde 60 moja kwa moja kwenye soga. Madokezo ya video hayawezi kupakuliwa na mpokeaji.

    Jifunza zaidi
  • Ujumbe wa sauti kwenye WhatsApp hukuruhusu kuwasiliana papo hapo na watu walio kwenye anwani zako na vikundi. Unaweza kuutumia kuwasilisha taarifa muhimu na za haraka.

    Jifunze zaidi
  • Unaweza kufikia vibandiko kwenye soga binafsi na za vikundi. Ili kutazama na kutumia vibandiko, fungua gumzo, kisha udonoe aikoni ya Vibandiko Kibandiko kitatumwa pindi utakapodonoa. Kifurushi cha vibandiko vinavyopendekezwa kwenye Duka la Vibandiko vya WhatsApp huonyeshwa chini ya vifurushi vyovyote vilivyopakuliwa. Unaweza kudonoa mojawapo ya vibandiko hivi ili kuvituma, au uguse Ongeza Kifurushi cha Vibandiko ili kutazama kifurushi chote.

    Jifunze zaidi
  • Unaweza kutuma emoji za hisia kwenye ujumbe katika soga binafsi na za kikundi ukitumia emoji. Unaweza kuangalia emoji zote za hisia kwenye ujumbe kwa kugusa emoji chini ya ujumbe husika. Ili kujibu ujumbe, unadonoa na kushikilia ujumbe kisha unadonoa emoji.

    Jifunze zaidi
  • WhatsApp huhifadhi kiotomatiki sauti, video na picha zinazotumwa kwenye simu yako. Chaguo la Uonekanaji wa maudhui limewashwa kwa chaguomsingi. Ili kusimamisha WhatsApp isihifadhi midia kiotomatiki kwenye hifadhi ya ndani ya kifaa chako unaweza kudonoa Machaguzi Zaidi (nukta tatu wima) > Mipangilio > Gumzo.

    Jifunze zaidi
  • Kuhakikisha kwamba WhatsApp inafanya kazi vizuri, hakikisha kuwa simu yako ina nafasi ya kutosha ya hifadhi. Unaweza kuongeza nafasi ya hifadhi kwa kufuta maudhui au soga zilizohifadhiwa au kuongeza nafasi ya hifadhi kwenye simu yako nje ya WhatsApp.

    Jifunze zaidi
Pakua
Nembo Kuu ya WhatsApp
Nembo Kuu ya WhatsApp
Pakua

Huduma Zetu

VipengeleBloguUsalamaKwa Biashara

Sisi ni nani

Kutuhusu sisiKaziKituo cha ChapaFaragha

Tumia WhatsApp

AndroidiPhoneMac/PCWhatsApp Web

Unahitaji msaada?

Wasiliana NasiKituo cha MsaadaProgramuUshauri wa Usalama
Pakua

WhatsApp LLC 2026 ©

Sheria na Sera ya FaraghaSitemap