Njia zaidi za kufanya WhatsApp iwe yako
Bana magumzo hata zaidi na ugeuze orodha zako kukufaa ili uendelee kujua mambo muhimu. Jieleze kwa mandhari za kipekee za aikoni za programu, milio maalum na vibandiko vya athari maalum.
WhatsApp Plus ni usajili wa hiari unaotoa vipengele vya kipekee ili kukusaidia kuwa na mpangilio na kueleza ubinafsi wako.

Bana magumzo hata zaidi na ugeuze orodha zako kukufaa ili uendelee kujua mambo muhimu. Jieleze kwa mandhari za kipekee za aikoni za programu, milio maalum na vibandiko vya athari maalum.

Chagua kutoka kwa miundo ya kipekee ya ikoni na ugeuze WhatsApp yako yote kukufaa kwa rangi zinazokuakisi.
Weka milio ya kipekee kwa waasiliani wako muhimu zaidi.
Shiriki vibandiko vilivyo na madoido maalum ya skrini nzima ili kuongeza sifa zaidi kwenye soga zako.
Bana hadi magumzo 20, ukiweka mazungumzo yako yote muhimu zaidi juu.
Weka arifa, milio na mandhari maalum kwa kila moja ya orodha zako za gumzo ili uendelee kujua mambo muhimu.